zuku

1. Vifurushi Zuku wana vifurushi vya aina 4:


Zuku classic, Zuku premium, Asia classic na Asia premium.


Zuku classic ina 35+ video channels, 40+ audio channels, na Local channels, hapa sijajua ni zipi hizo. (20,000 / mwezi)

Zuku Premium ina 60+ video channels, 40+ audio channels, na local channels. (40,000 / mwezi) Asia classic ina 40+ video channels, 40+ audio channels, na local channels (30,000 / mwezi)


Asia Premium ina 70+ video channels, 40+ audio channels (60,000 / mwezi) 2. Installation A complete Zuku TV kit + Installation itakugharimu 92,000. (hawa wakufungia kidish chao - to your decoder)


3. Malipo Zuku inalipiwa through mobile money: M-pesa, airtel money. Sina hakika kama wameshaongeza miotandao mingine. But also wana option ya kulipa online na visa card.(nadhan hii ni mostly applicable Uganda)


1 comment: