Easy tv

vinakamata hapa DSM tu.
Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. cnn, bbc,aljazeera, cctv.

Channel za dini ipo-Emmanuel ya nigeria[wakiristo] na Peace tv[waislam]

ni Dar pekee inapatikana, na unatumia antenna tu na king'amuzi, haina dishi. Channel zao ziko clear sana, wala hazi scratch.

Local channels zilizopo ni ITV, Star TV, Channel 10, EATV, DTV, Mlimani TV, TV Tumaini, TBC1 na Capital. News wana BBC, Aljazeera na CCTV.

Kwa wapenzi wa mieleka na masumbwi kama mimi kuna Optima channel!

Ni nzuri kwa mtu wa kipato cha wastani


Gharama za Easy Tv ni 120,000/= then utakuwa unalipia shs 9000/= kila mwezi na channel zake zipo clear sana haina shida au piga 0713 378379 atakuja kukufungia hadi hapo nyumbani ni mtumishi wa Easy TvNo comments:

Post a Comment