Star Times

1. Vifurushi
Star times wana vifurushi vya aina 3:
Mambo/Basic, Uhuru na Kili

Mambo/Basic ina takriban stesheni 35 and growing (9,000 / mwezi)

Uhuru ikiwa na takriban stesheni 47 and growing (18,000 / mwezi)


na Kili (latest entry) ikiwa na stesheni 52 and growing (35,000 / mwezi)


2. Installation
With star times, you can do it yourself, maana ni antenna yako tu to the decoder (ya ndani au nje kulingana na sehemu uliyopo) na gharama iliyopo kwa ofa sasa hivi ni TSH 39,000. bei ya kawaida ni TSH 70,000.3. Malipo
Startimes wao pia wana mobile money kama njia ya malipo, kuna m-pesa, tigo pesa, na pia kupitia "wakala" maxcom, na selcom paypoint.

No comments:

Post a Comment