Saturday, February 15, 2014

zipo decoder nyingi hapa Tanzania kiasi kwamba ni hadi kumchnganya mlaji/mtumiaji. karibu hapa kwenye blog yetu tutakuwa tunachanganua aina mbalimbali za decoder na kwanini ununue decoder ile uache ile.


1. channel zilizopo


2.gharama za kulipia kwa mwezi


3.vifurushi vilivyop kwa decoder zote


4.gharama za kuunganisha


5. coverage ya hizo decoder


No comments:

Post a Comment